Tuesday, August 18, 2015

WANACHADEMA MAKUNDI KWA MAKUNDI WAJIUNGA NA CCM

Wakati baadhi ya Makada wa CCM wenye uchu na tamaa ya madaraka wamekua wakikihama chama hicho na kujiunga na vyama pinzani kama vile CHADEMA, CUF, NCCR - MAGEUZI na ACT WAZALENDO ili tu wapate fursa mbalimbali za kugombea nafasi za uongozi, hali imekua tofauti kwa wanachama wa CHADEMA ambapo makundi kwa makundi wameonekana kurudisha kadi zao na kujiunga na chama tawala cha CCM.


No comments:

Post a Comment