Rais Obama wa Marekani akisaini kitabu cha wageni mara tu baada ya kuwasili Jomo Kenyatta International Airport. Kulia kwake ni mwenyeji wake rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais Obama pia amekutana na Makamu wa Rais wa Kenya William Rutto
Proud to be the first American President to visit Kenya. Happy to see family, and to talk with young Kenyans about the future.
Sehemu Ukumbi ulioandaliwa maalum kwa ajili ya mkutano kati ya wakuu hao wa nchi Rais Obama na Rais Kenyatta ambapo kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili ni moja ya agenda muhimu.
No comments:
Post a Comment