Monday, May 30, 2016

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AONGOZA KIKAO CHA WAKUU WA ULINZI NA USALAMA TANZANIA

Mhandisi Massauni akitekeleza vyema wajibu wake katika kuboresha ufanisi wa wizara ya Mambo ya Ndani.

Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh. Hamad Massauni (Mb) akiongoza kikao cha watendaji wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania leo tarehe 30/05/2016. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Jeshi la polisi mjini Dodoma



No comments:

Post a Comment