Monday, September 21, 2015

KIJANA MIHAYO N'HUNGA MGENI RASMI MAHAFALI OHMSA ZANZIBAR

Mwanasiasa chipukizi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea UWAKILISHI jimbo la mwera kupitia chama hicho Kijana Mihayo N'hunga amehudhuria sherehe za mahafali katika skuli na kituo kinachotoa elimu kwa vijana cha OHMSA kilichopo Amani mjini Zanzibar. Akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo, Mihayo ameendesha mahafali hayo pamoja na kutekeleza majukumu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupokea changamoto na kujua mafanikio ya kituo hicho kulingana na malengo ya kuanzishwa kwake.

Mihayo N'hunga akihutubia wahitimu na wageni waliohudhuria sherehe hizo za mahafali katika ukumbi wa OHMSA Amani mjini Zanzibar.
 Katika hotuba yake, N'hunga amewaasa wanafunzi hao kuto kuridhika na kiwango cha elimu waliyopatiwa kituoni hapo, badala yake iwe ni changamoto kwao katika kupiga hatua na kutaka kupata elimu ya juu zaidi kwani elimu ya juu hupunguza changamoto za maisha.
Mgeni rasmi akitoa vyeti kwa wanafunzi waliohitimu wakati wa sherehe za mahafali
Baadhi ya wanafunzi wahitimu wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika mahafali hayo ya OHMSO Amani mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment