Saturday, August 1, 2015

WALIOIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM

BAADHI YA MATOKEO KURA ZA MAONI CCM

Nape Moses Nnauye  - Ubunge (Mtama)

 Mwingulu Nchemba  -  Ubunge (Iramba Mashariki)

 January Y. Makamba  - Ubunge (Bumbuli)

Anthony Mavunde  -  Ubunge (Dodoma Mjini)

Mihayo N'hunga  - Uwakilishi (Mwera)
Hussein Bashe  -  Ubunge (Nzega Mjini)

Taarifa zinaonesha kwamba wapo ambao kurra hazikutosha, ambao ni pamoja na 
Jerry Slaa, Adam Malima, Jerry Muro, Ismail Aden

No comments:

Post a Comment