Saturday, August 1, 2015

MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA ACHUKUA FOMU YA URAIS TANZANIA KUPITIA DP

Mchungaji Christopher Mtikila aendelea kulilia mgombea binafsi Tanzania baada ya kuchukua fomu kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake cha DP

No comments:

Post a Comment