Wednesday, August 5, 2015

MAGUFULI RASMI ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS CCM TANZANIA

Angalia picha mbalimbali za waliomsindikiza Mgombea wa CCM kuchukua fomu kuwania Urais Tanzania

 Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan wakiondoka kwa gari la wazi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua fomu ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
 Msafara wa Mgombea Mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akipita kwenye makutano ya baabara ya Morogoro na Bibi Titi Mohammed, wakati mgombea huyo akienda kuchuua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
  Mwananchi akipunga mkono kufuarhia msafara wa Mgombea Mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akati ukipita kwenye makutano ya baabara ya Morogoro na Bibi Titi Mohammed, wakati mgombea huyo akienda kuchuua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli akisaini fomu maalum, baada ya kuingia Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kuomba kugombea urais. Kulia ni Mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan
 Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini fomu hizo maalum
 Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini fomu hizo maalum
 Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimkabidhi Dk. Magufuli mkoba wenye fomu zote za kuomba urais. Huku Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassani na Katibu wa CCM, Abdlrahman Kinana wakishuhudia kwa makini
 Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimkabidhi Dk. Magufuli mkoba wenye fomu zote za kuomba urais. Huku Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassani akishuhudia kwa makini
 Maelfu ya wananchi wakimsindikiza Dk. Magufuli kurejea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, baada ya kuchukua fomu

  Katibu wa NEC, Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassa baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM. Dk. Asha-Rose ni miongoni mwa waomba kuwania Urais kwa tiketi ya CCM ambaye alifanikiwa kuingia tatu bora katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM uliomuibua Dk. Magufuli
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifurahia jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa, wakati akisubiwa Dk. Magufuli kufika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
 Baadhi ya viongozi na wana CCM na Makada wa CCM wakimsubiri Dk. Magufuli
 Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Muhammed Seif Khatib akimlaki Mgombea Mteule wa Urais wa CCM, Dk. Magufuli baada ya kuingia chumba cha mapumziko kwa muda, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba

 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Dk. Magufuli katika chumba cha mapumziko kwa muda
 Dk. Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM
  Dk. Magufuli akiteta jambo na Dk. Asha-Rose Migiro
 Baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwa katika chumba cha mapumziko ya muda baada ya kuwasili Dk. Magufuli


 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Dk. Asha-Rose Migiro na Muhammed Seif Khatib


 Dk. Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa UWT, Sohia Simba. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiteta jambo na Dk. Magufuli
 Nape akipata ushauri kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula
  Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akisalimia na Silaa. Kulia ni Dk Hussein Mwinyi
  Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimsalimia mgombea mwenza
  Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimsalimia Dk. Magufuli
 Dk. Magufui akimsikiliza kwa makini wakati Madabida akimweleza jambo
 Dk. Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Ilala Mussa Zungu
 Dk Asha Rose Migiro akiteta jambo na Sophia Simba na Amina Makilagi
  Dk Magufuli akisalimiana na Abbas Mtemvu
  Dk. Magufuli akitoka chumba cha mapumziko ya muda tayari kwa safari ya kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi
  Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuanza safari

No comments:

Post a Comment