Wednesday, August 19, 2015

JK AMKABIDHI MAGUFULI WAZEE

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete akitete jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdurahman Kinana (Kulia), Katikati ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Mh. John Magufuli wakati wa hafla ya mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo tarehe 19/08/2015.



Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
  Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
  Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam  leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
  Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam  leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam  leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment