

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia aliyekuwa Spika wa Baraza a Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akimlakini Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli aliyewasili Kisiwani hapa, kwa ajili ya kutambulishwa na Chama.. Wapili kulia ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akimsalimia Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama. Kulia ni Vuai Ali Vuai na wapili kulia ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akivishwa shada la maua na kijana wa Chipukizi wa CCM, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama. Kushoto ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake wakimsalimia viongozi mbalimbali w alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama. Kushoto ni Vuai Ali Vuali akitambulisha.


Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akijibu maswali mbalimbali alipozungumza na waandishi wa habari, alipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama. Kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan.

Wana CCM, ni mjini Zanzibar wakiwa na bango la kumkaribisha Kumkaribisha Mgufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi waliofika kuwalakini, walipokuwa katika gari la Wazi kuanzia Maskani ya Kachorora kwenda Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa na Chama kwa wanachama.


Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakiwapungia mikono wana CCM na wananchi waliofika kuwalaki, walipokuwa katika gari la Wazi kuanzia Maskani ya Kachorora kwenda Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, walipowasili Zanzibar kwa ajili ya kutambulishwa


Vijana wakiwa katika hali ya shamrashamra wakati wa mapokezi ya Dk. Magufuli mjini Zanzibar

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akishiriji kuomba dua kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Kisiwandui.

Dk. Magufuli akienda kuingia katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar

Dk. Magufuli na Mgombea mwenza wake wakiwa katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini, Borafya Juma Silima

Dk. Magufuliakisindikizwa kwenda kukutana na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akimsalimia kwa bashasha mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, mgombea huyo alipowasili mjini Zanzibar kwa ajili ya utambulisho kwa wana CCM. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan.

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein wakati wa hafla maalum ya kutambulishwa mgombea huyo kwa wanachama wa CCM, kwenye Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli akizungumza wakati wa hafka ya kumtambulisha, iliyoyanyika kwenye Viwanja vya ndani vya Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment