Thursday, July 16, 2015

MIHAYO N'HUNGA NA MAKADA NGULI WA CCM


MIHAYO N'HUNGA KUVAA VIATU VYA BABA YAKE

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mjini Magharibi Bw. Mihayo N'hunga akiwa pamoja na Naibu waziri wa Fedha na Naibu katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mh. Mwingulu Nchemba  wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho wa kumteua mgombea urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao. Mh. Mwingulu Nchemba alikuwa mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi hiyo muhimu ambapo Mh. John P. Magufuli aliibuka na ushindi kishindo.



Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mjini Magharibi Bw. Mihayo N'hunga akiwa pamoja na  Mh. January Y. Makamba  wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho wa kumteua mgombea urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao. January Y. Makamba alikuwa mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi hiyo muhimu ambapo Mh. John P. Magufuli aliibuka na ushindi kishindo na Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza ambaye anatarajiwa kuwa makamu wa Rais wa kwanza katika hisoria ya siasa za Tanzania.

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mjini Magharibi Bw. Mihayo N'hunga akiwa pamoja na  Mh. Asha-Rose Migiro  wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho wa kumteua mgombea urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao. Mh. Asha-Rose Migiro alikuwa mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi hiyo ambapo alifuzu vizuri na jina lake kubakia bila katika hatua zote za mchujo na kuambulia nafasi ya tatu, nafasi ya pili ikishikiliwa na Balozi Amina Salum Ali ambapo Mh. John P. Magufuli aliibuka na ushindi kishindo na Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza ambaye anatarajiwa kuwa makamu wa Rais wa kwanza katika hisoria ya siasa za Tanzania.

 Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mjini Magharibi Bw. Mihayo N'hunga akiwa pamoja na mtoto wa baba wa Taifa Mh. Makongoro Nyerere  wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho wa kumteua mgombea urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu ujao. Mh. Makongoro Nyerere alikuwa mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi hiyo muhimu ambapo Mh. John P. Magufuli aliibuka na ushindi kishindo na Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza ambaye anatarajiwa kuwa makamu wa Rais wa kwanza katika hisoria ya siasa za Tanzania.





No comments:

Post a Comment