Video ya Ommy Dimpoz imegonga namba moja
kwenye countdown ya Nigeria
Wiki hii Ommy Dimpoz ameshika namba moja kwenye countdown ya Soundcity Top Ten East na wimbo wa Wanjera hii ni good news kwa Watanzania kwa msanii mwengine wa Bongo Fleva kuonekana kwenye nafasi ya namba moja.
Tazama video yenyewe ni hii hapa >>>>>>>>
No comments:
Post a Comment