Saturday, July 18, 2015

KNOW ABOUT "EL CHAPO"


Serikali ya Mexico haijakaa kimya, imesema El Chapo ni adui namba moja wa umma sasa hivi na imetangaza kutoa zawadi ya dola Mil.3.8 sawa na Bil.7.2 za Kitanzania kwa mtu yoyote atakaetoa taarifa sahihi zenye uhakika za mahali alipo.
Hapa chini nimekusogezea baadhi ya videos zinazo onyesha njia aliyoitumia El Chapo kutoroka gerezani, ni shimo lililochimbwa chini kwa chini, kuna generator, taa za umeme na ukubwa wake hata bodaboda inaweza kupita mtu wangu!




No comments:

Post a Comment