Thursday, July 23, 2015

CHAMA CHA ACT CHAZIDI KUIMARIKA, WAKATI ADC CHAIMARISHA MISINGI YA CHAMA CHAKE HUKO ZANZIBAR


Chama kipya na kichanga cha siasa chini Tanzania ACT WAZALENDO kimeonekana kuzidi kuimarika kwa kupokea wanachama wengi wanaojiunga katika chama hicho wakitokea vyama vingine vya siasa, wamo pia makada wenye nguvy na mashuhuri wanajiunga chama hicho kinacho ongozwa na Kiongozi mkuu wa chama hicho Ndugu Zuberi Zito Kabwe.

Aliyekua mbunge wa wawi ndugu Hamad Rasheed amejiunga rasmi na chama cha ADC huku akigusia kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho.

No comments:

Post a Comment