Wednesday, October 28, 2015

UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAHAIRISHWA NA MATOKEO YOTE KUFUTWA







Breaking News:
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 October 2015.
Katika taarifa yake ZEC imeeleza kuwa sababu zilizopelekea kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar ni ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi hali iliyosababisha uchaguzi usiwe huru na wa haki.
Tarehe ya marudio ya uchaguzi huo itatangazwa baadae


No comments:

Post a Comment