Mgombea UWAKILISHI jimbo la mwera kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Mihayo N'hunga akiwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na baadaye jimbo la Dole Bw. Juma S. N'hunga muda mfupi baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kianga nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
Wagombea wa nafasi mbalimbali jimbo la mwera kupitia Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano huo uliofanyika Kianga hapo jana.
Bw. Mihayo N'hunga mgombea Uwakilishi jimbo la mwera kupitia CCM akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanachama waliojitokeza kusikiliza sera katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kianga jana.
No comments:
Post a Comment