KUDOJA N'HUNGA AHITIMU MASOMO YAKE
Bw. KUDOJA J. S N'HUNGA akiwa katika vazi rasmi baada ya kuhitimu masomo ya stashahada katika chuo cha afya Mvumi nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Bw. KUDOJA J. S N'HUNGA akiwa katika vazi rasmi baada ya kuhitimu masomo ya stashahada katika picha ya pamoja na familia. Kulia kwa Bw. KUDOJA anaonekana baba mzazi Ndugu Juma S. N'hunga, wa kwanza kushoto ni Mama mzazi Bi. Mwanaisha Kudoja. Wengine ni Bi Maryam Arafat, Mama Mwalukisa, dada yake Bi Manyerere Abdallah katika mazingira ya chuo cha afya Mvumi nje kidogo ya mji wa Dodoma

Bw. Kudoja N'hunga akilishwa keki na mama mzazi kwa ishara ya upendo na furaha baada ya kuhitimu mafunzo ya stashahada katika chuo cha afya cha Mvumi nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Bw. Kudoja N'hunga akiwa katika pozi maalum na dada yake mkubwa Bi. Manyerere Abdallah.

Bw. Kudoja N'hunga akilishwa keki na mama mzazi kwa ishara ya upendo na furaha baada ya kuhitimu mafunzo ya stashahada katika chuo cha afya cha Mvumi nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Bw. Kudoja akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafamilia, anaonekama mama mzazi, dada mkubwa, na walezi wake wakionesha furaha baada ya kuhitimu masomo yake.
Bw. Kudoja akiwa katika picha ya pamoja na baba yake Bw. Juma S. N'hunga, mama mzazi Bi. Mwanaisha Kudoja, Bw. Ramadhani Abdalah, na mama mlezi Mrs. Mwalukisa.
Bw. Kudoja N'hunga akiwa katika pozi maalum na dada yake mkubwa Bi. Manyerere Abdallah.
No comments:
Post a Comment