Saturday, September 26, 2015

KAHAMA WAMPA USHINDI MAGUFULI

Umati mkubwa wa wananchi waliojitokeza kumlaki na kumuunga mkono mgombea wa CCM John Pombe Magufuli mjini kahama.

Magufuli akiwa na jopo la timu mahiri ya kampeni wakiwa mbele ya umati mkubwa sana kumsikiliza mgombea huyo mjini Kahama 





Makada mashuhuri wakipiga Push-Up kuonesha kumuunga mkono mgombea ww CCM John Pombe Joseph Magufuli. 



No comments:

Post a Comment