Thursday, August 13, 2015

Majina rasmi ya wagombea Ubunge CCM 2015 yatajwa


Majina ya walioteuliwa kugombea ubunge wa majimbo na uwakilishi wa viti maalum kupitia CCM katika majimbo yote Tanzania yametoka rasmi , yupo Iddi Azzan anagombea Jimbo la Kinondoni, Prof. Anna Tibaijuka anagombea jimbo la Muleba Kusini.
Nape Nnauye anagombea jimbo la Mtama. Mihayo N'hunga anagombea Uwakilishi jimbo la Mwera, Nimrod Mkono anagombea jimbo la Butiama, Ndugu Ridhiwani Kikwete anagombea Chalinze na Job Ndugai ameteuliwa kugombea Kongwa. Kujua wote walioteuliwa kuwakilisha majimbo na viti maalum.

No comments:

Post a Comment