Tuesday, August 11, 2015

MAJIMBO MATANO KURUDIA KUPIGA KURA ZA MAONI CCM

JERRY SLAA KUPEWA 2nd CHANCE KUSHINDA KURA ZA MAONI UKONGA

MOTO wa kisiasa umeendelea kulipuka katika jimbo la Kilolo mkoani
Iringa baada ya Mbunge wa Jimbo la Kilolo anayemaliza muda wake,
yaliyompa ushindi Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Tabora, Venance Mwamotto
Profesa Peter Msolla kushinda rufaa iliyokuwaikipinga matokeo
Hii itakuwa ni mara ya pili kurudiwa kwa uchaguzi huo kwani apo awali
katika kura za maoni za ubunge za Chama cha Mapinduzi (CCM) jimboni
humo.
uliporudiwa Venance Mwamoto alikuwa mshindi wa kwanza kwa kupata kura
kata tatu kati ya kata 24 zilirudia upya kupiga kura kwa kile kilichodaiwa makatibu kumuongezea kura profesa Msolla na uchaguzi
Katibu wa CCM wa Wilaya ya Kilolo, Clement Mponzi alisema watarudia
11,200, Profesa Msolla alishika nafasi ya pili kwa kupata kura 10,014 katika uchaguzi huo ulioshirikisha jumla ya wagombea 15. uchaguzi katika kata 27 kwa ngazi ya ubunge kwa madai kuwa kuna
majira ya saa mbili asubuhina kumalizika saa kumi jioni huku
mgombea hakuridhika na matokeo hivyo ili kumaliza utata na kila mtu kuridhika na matokeo inabidi uchaguzi huo kurudiwa Mponzi alisema uchaguzi huo utakao rudiwa kesho October 12 kuanzia akiwataka wagombea kuwawahisha mawakala wao mapema katika vituo vya
Alisema kura zake ziliyoyoma baada ya Katibu huyo wa wilaya kuamuru
kupigia kura ili kuepuka lawama zisizo kuwa na msingi Hapo awali kabla Profesa Msolla hajaenda kukata rufaa alisema kabla ya matokeo hayo kutangazwa bila kuridhiwa na wagombea wote alikuwa akiongoza kwa kura 13,409 dhidi ya kura 9,749 alizopata Mwamotto.
“Na kimsingi kata zilizoamuriwa zirudie uchaguzi kwa kisingizio kwamba
kata tatu za Lugalo, Uhambingeto na Nyalumbu ambazo ni kati ya kata 24 za jimbo hilo aliloliongoza kwa miaka kumi kutakiwa kurudia uchaguzi bila kushirikisha kamati ya siasa ya wilaya hiyo kwa madai kwamba wasimamizi wa uchaguzi wa kata hizo walichelewa kuwasilisha matokeo yake ndani ya muda uliopangwa.
utata. Malalamiko yetu yalikuwa ya msingi na uchaguzi ukarudiwa na
matokeo yake yalichelewa wakati kuna kata nyingine nyingi tu nazo zilichelewesha matokeo yake ni baadhi ya kata ambazo mimi nilipata kura nyingi zaidi ikilinganishwa na wagombea wengine,” alisema. Mgombea anayelalamikiwa kupata ushindi huo kinyemela alisema; “tulalamika baada ya kuona fomu za matokeo katika kata hizo tatu zina
kupata haki yake anayostahili
baada ya kurudiwa matokeo ya jumla yamenipa ushindi” Akizungumzia dosari iliyopelekea uchaguzi katika jimbo hilo kurudiwa, Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga alisema kuwa kuna badhi ya wagombea hawakuridhika na matoke hivyo kwa mujibu wa kanuni na
taratibu za chama hicho wameamuru uchaguzi huo kurudiwa ili kila mmoja

No comments:

Post a Comment