Thursday, July 9, 2015

RAIS KIKWETE AVUNJA RASMI BUNGE LA TANZANIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amehutubia bunge la 10 la Tanzania kwa mara ya mwisho kabla ya kulivunja rasmi


Rais Kikwete ameainisha changamoto na mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa katika kipindi cha uongozi wake.

No comments:

Post a Comment