ULISIKIA
HOUBA YA OBAMA AKIWA KENYA
Kenyans can now enjoy five
year visas to the United States up from the previous one year maximum following
bilateral talks between the two countries on Saturday.
U.S.
President Barack Obama made the announcement after the conclusion of a closed
door session with his host President Uhuru Kenyatta at State House, Nairobi.
“We
will extend student and business visas for up to five years for Kenyans
traveling to the United States and for Americans traveling to Kenya. This will
make it easier for students to complete their studies and for businesses to
make long-term plans,” said Obama.
President Obama also said
that the two governments are working on commencing direct flights between the U.S
and Kenya. Notting the potential of the directs flights, President Obama – who shied
Rais Obama amesema pia,
serikali hizo mbili zinafanyia kazi suala la kuwa na safari za ndege za moja
kwa moja kati ya Kenya na Marekani. Akielezea umuhimu wa usafiri huo bila
kueleza ni lini utaanza kufanya kazi, Rais Obama amesema kuwpo kwa safari hizo
zitaongeza utalii na kuimarisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo.
Kuhusiana na lini utaratibu
huo utaanza, Rais Obama amesema kwamba kutakua na mpango maalum pamoja mambo ya
usalama yanayohitaji kufanyiwa kazi kabla ya kutangazwa tarehe rasmi ya kuanza
utaratibu huo. “Tumepeleka wawakilishi kutoka kitengo(Idara) cha usafiri na
Ulinzi kufanya kazi na maafisa wa
serikali ya Kenya. Nadhani tayari jitihada nzuri zimeanza kufanyika”. Ameeleza
Obama.
Tazama full video hapa>>>>>>>>>>
Tazama full video hapa>>>>>>>>>>
No comments:
Post a Comment