Katibu wa itikadi na uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye awakaribisha rasmi wananchi na makada wa cha chama cha CCM katika kurasa za mitandao ya kijamii ili kufuatilia na kupata taarifa kwa kila hatua kwa yanayojiri katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma. Utaweza kutazama Mkutano mkuu wa chama moja kwa moja siku ya jumamosi tarehe 11 Julai 2015 kupitia tovuti ya www.uchaguziccm2015.com. "Fuatilia kurasa zetu za Twitter (@CCM_Tanzania), Instagram (@CCMTanzania), pamoja na Youtube (ChamaChaMapinduzi) ili kupata taarifa rasmi na zenye uhakika".
Hayo ni maneno yake Nape Nnauye, msikilize hapa >>>>>>>>>
MHE. NAPE NNAUYE AKARABISHA KWENYE KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII
Katibu wa idara ya itikadi na uenezi CCM Mhe. Nape Nnauye awakaribisha rasmi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Utaweza kutazama Mkutano mkuu wa chama moja kwa moja siku ya jumamosi tarehe 11 Julai 2015 kupitia tovuti ya www.uchaguziccm2015.com. Fuatilia kurasa zetu za Twitter (@CCM_Tanzania), Instagram (@CCMTanzania), pamoja na Youtube (ChamaChaMapinduzi) ili kupata taarifa rasmi na zenye uhakika. UMOJA NI USHINDI !#KaribuDodoma
Posted by CCM Tanzania on Thursday, July 9, 2015
No comments:
Post a Comment