Saturday, July 11, 2015

MKUTANO MKUU CCM NGOMA NZITO, KIKAO CHAAHIRISHWA USIKU MZIMA ILI KUHESABU KURA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dr. Jakaya Kikwete akiteta jambo na Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Mkutano Mkuu mjini Dodoma


Dr. Asha-Rose Migiro Mgombea Urais CCM akiomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wakati kikao cha Mkutano Mkuu kikiendelea mjini Dodoma

Balozi Amina Salum Ali Mgombea Urais CCM akiomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wakati kikao cha Mkutano Mkuu kikiendelea mjini Dodoma

Mh. John Pombe Magufuli Mgombea Urais CCM akiomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wakati kikao cha Mkutano Mkuu kikiendelea mjini Dodoma

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM taifa wakipiga kura ili kupata mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho

No comments:

Post a Comment